Psalms 20:3-5

3 aNa azikumbuke dhabihu zako zote,
na azikubali sadaka zako za kuteketezwa.
4 bNa akujalie haja ya moyo wako,
na aifanikishe mipango yako yote.
5 cTutashangilia kwa furaha utakaposhinda,
tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu.
Bwana na akupe haja zako zote.
Copyright information for SwhNEN